Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho Gym kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigiwa Uwanja wa Azam Complex kesho saa moja usiku.
Tazama picha za matukio mbalimbali wakati wachezaji walivyokuwa wakifanya mazoezi hayo.