read
news & Articles

Kikosi cha U20 kilichopangwa kuikabili Azam FC
Leo saa 2:45 Usiku kikosi chetu cha vijana chini ya umri wa miaka 20 kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Azam katika mchezo wa

Kikosi cha U20 kilichopangwa kuikabili Ihefu
Leo saa mbili usiku kikosi cha timu yetu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Ihefu katika

Tumeanza kwa sare dhidi ya Kagera Sugar
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kimeanza kwa sare ya bila kufungana na Kagera Sugar katika michuano ya vijana

Kikosi cha U20 kilichopangwa kuikabili Kagera Sugar
Leo saa 12:30 timu yetu ya vijana itashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Kagera Sugar katika michuano ya vijana chini ya miaka 20 ambayo

MobiAd yaja na Kampeni Twenzetu Chamazi
Wakati michuano ya timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ikianza leo katika Uwanja wa Azam Complex wadhamini wakuu wa Kikosi chetu cha

Mgosi: Tupo tayari kwa mashindano ya U20
Kocha Mkuu wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Mussa Hassan Mgosi amesema maandalizi kuelekea michuano ya vijana ambayo itaanza leo yamekamilika.