Kikosi cha U20 kilichopangwa kuikabili Kagera Sugar

Leo saa 12:30 timu yetu ya vijana itashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Kagera Sugar katika michuano ya vijana chini ya miaka 20 ambayo imeanza jana.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Jonathan Skazwe (40), Isack Emmanuel (45), Abdultwaha Binjo (43), Emmanuel Gerrard (41), Pasco Yasita (54), Omary Rashid (53), Hassan Mussa (52), Godfrey Manfred (56), Samson Emmanuel (48), Seif Suleiman (36), Shaffih Hassan (51).

Wachezaji wa Akiba:

Mwarami Mohamed (50), William Baraka (57), Mudrik Kabisu (58), Raphael Steven (44), Stamford Nixon (34), Benjamin Raphael (42), Hassan Kassim (46), Maulid Juma (49) Abdulaziz Salum (47).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER