Kikosi cha U20 kilichopangwa kuikabili Azam FC

Leo saa 2:45 Usiku kikosi chetu cha vijana chini ya umri wa miaka 20 kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Azam katika mchezo wa mwisho wa Kundi D.

Kikosi kamili kilivyopangwa:

Jonathan Skazwe (40), Emmanuel Isack (45), William Baraka (57), Emmanuel Gerrard (41), Pasco Miligo (54), Modrick Kabisu (58), Omary Rashid (53), Hassan Mussa (52), Samson Emmanuel (48), Seif Suleiman (36), Shaffih Hassan (51).

Wachezaji wa Akiba:

Mwarami Mohamed (50), Maulid Juma (49), Abubakar Hamis (53), Abdultwaha Binjo (43), Shaban Rajabu (43), Mohamed Mussa (33), Godfrey Manfred (46), Benjamin Raphael (42), Stanford Nixion (34).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER