read
news & Articles

Chama kujiunga na wenzake Uturuki
Baada ya majadiliano na Uongozi kumalizika vizuri kiungo mshambuliaji Clatous Chama ataondoka nchini muda wowote kutoka sasa kuelekea Uturuki kujiunga na wenzake kwa ajili ya

Timu yaendelea na mazoezi Uturuki
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano hapa Ankara, Uturuki ikiwa leo ni siku ya tano. Kama kawaida programu ya

Wachezaji wapimwa uzito Uturuki
Ikiwa zimepita siku tatu tangu tuanze maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2023/24 leo asubuhi wachezaji wamepimwa uzito. Sababu ya kupimwa uzito ni

Fabrice Ngoma ni Mnyama
Ni rasmi tumefanikiwa kumsajili kiungo Fabrice Luamba Ngoma raia wa DR Congo kutoka Al Hilal ya Sudan kwa mkataba wa miaka miwili. Ngoma ni mchezaji

Timu yaanza mazoezi Uturuki
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya kwanza leo hapa Uturuki kwa awamu mbili asubuhi na jioni. Mazoezi ya asubuhi yalikuwa mepesi kutokana na benchi la ufundi

VIDEO: Tazama Uwanja ambao tutautumia kwa mozoezi wiki zote tatu nchini Uturuki
Kikosi chetu kimeanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2023/24 na katika kipindi chote cha wiki tatu kitafanya mazoezi katika Uwanja wa Soğuksu Sports Complex.