VIDEO: Tazama Uwanja ambao tutautumia kwa mozoezi wiki zote tatu nchini Uturuki

Kikosi chetu kimeanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2023/24 na katika kipindi chote cha wiki tatu kitafanya mazoezi katika Uwanja wa Soğuksu Sports Complex.

Tazama hadi mwisho video hii kuona mandhari ya uwanja huu.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER