read

news & Articles

Inonga bado yupo sana Simba

Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili na mlinzi wa kati, Henock Inonga Baka ambao utamuweka klabuni hadi mwaka 2025

Ntibazonkiza ni Mnyama

Uongozi wa klabu unatangaza kufikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza kutoka Geita Gold Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu. Ntibazonkiza raia

Phiri nje wiki moja

Majibu ya vipimo vya MRI na X ray aliyofanyiwa mshambuliaji wetu kinara Moses Phiri yamekamilika na imeonekana ameumia. Kwa majibu hayo Phiri atakuwa nje ya

Timu yafanya mazoezi mepesi Nyamagana

Kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi mepesi ya utimamu wa mwili katika Uwanja wa Nyamagana baada ya kurejea kutoka mkoani Kagera. Kikosi kimefika jijini Mwanza

Queens, Yanga Princess hakuna mbabe

  Timu yetu ya Simba Queens imetoka sare ya bao moja na watani wetu Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC