Daktari wa timu, Edwin Kagabo amesema hali za wachezaji wetu majeruhi mlinzi wa kati Henock Inonga na winga Aubin Kramo zinaendelea vizuri.
Inonga amepata majeraha ya bega katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate wakati Kramo ameumia goti mazoezini.
Tazama video hii hadi mwisho kujua hali ya kikosi na lini nyota hao watarejea kikosini.