read
news & Articles

Ahmed awaomba mashabiki kununua tiketi za Jumapili mapema
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amewaomba mashabiki kununua tiketi mapema za mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos

Tumepata ushindi dhidi ya Pan African
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Pan African katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Mo Simba Arena. Mchezo huu

Timu yarejea mazoezini kujiandaa na Power Dynamos
Kikosi chetu kimeanza mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos utakaopigwa Jumapili katika Uwanja wa Azam

VIDEO: Ahmed aelezea ajali aliyopata Che Malone usiku wa kuamkia leo
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema mlinzi wa kati, Che Fondoh Malone hajaumia popote kwenye ajali aliyopata usiku wa kuamkia leo eneo

Robertinho: Tumeitumia Coastal kujiandaa na Power Dynamos
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema tumeutumia mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union kujiandaa na mechi ya marudiano ya

Highlights: Tazama mabao yote ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal
Tumefanikiwa kupata kushindi mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Tazama hapa