read

news & Articles

Ally Salim Aibuka Shujaa Mkwakwani

Mlinda mlango, Ally Salim ameibuka Shujaa wakati tukinyakua Ngao ya Jamii kwa mikwaju ya 3-1 dhidi ya watani wa jadi Yanga baada ya kuokoa tatu

Tupo tayari kwa fainali Ngao ya Jamii

Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani kuikabili Yanga kwenye mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii. Kikosi kimefanya mazoezi

Lakred ni Mnyama

Mlinda mlango, Ayoub Lakred (28) raia wa Morocco amejiunga na kikosi chetu kutoka FAR Rabat kwa mkataba wa miaka miwili. Lakred ambaye ni mlinda mlango

Robertinho asema lolote linawezekana kwenye Derby

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema mchezo wa ‘Deby’ hautabiliki na lolote linawezekana lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda kesho. Robertinho amesema Simba ni timu kubwa na

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC