Kikosi kilichopangwa kuikabili Power Dynamos

Leo saa 10 jioni kikosi kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Power Dynamos kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kocha Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi ya mwisho dhidi ya Coastal Union.

Mlinzi Henock Inonga ambaye alipata majeraha hatakuwa sehemu ya kikosi nafasi yake imechukuliwa na Kennedy Juma na winga Luis Miquissone nafasi yake imezibwa na Kibu Denis.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Ayoub Lakred (36), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Fondoh Malone (20), Mzamiru Yassin (19), Fabrice Ngoma (6), Clatous Chama (17), Jean Baleke (4), Said Ntibazonkiza (10), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamis (13), Sadio Kanoute (8), Willy Onana (7), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Shaban Chilunda (27).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER