read
news & Articles

Kila la Kheri Taifa Stars Leo
Timu yetu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo usiku itakuwa na mchezo muhimu wa kufuzu michuano ya Afrika AFCON dhidi ya Algeria utakaopigwa katika

Tumezindua rasmi Programu ya Back to School
Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula leo amezindua Programu ya Back to School ambayo itapita mashuleni kwa ajili ya kutafuta mashabiki wapya na kuendeleza vipaji

Tumepata ushindi mnono dhidi ya Cosmo
Kikosi chetu kimepata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Cosmopolitan katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Mo Simba, Bunju. Moses Phiri alitupatia bao

Tumepangwa na Al Ahly AFL
Droo ya michuano ya African Football League (AFL) imekamilika na tumepangwa na miamba ya Afrika Al Ahly kutoka Misri. Mchezo wa kwanza utapigwa katika Uwanja

Alichosema Robertinho baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kipanga
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema amefurahishwa na jinsi wachezaji walivyocheza katika ushindi wa mabao 3-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Kipanga FC uliopigwa

Tumepata ushindi dhidi ya Kipanga
Tumepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kipanga FC katika mchezo wa kirafiki uliopigwa katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena. Mchezo ulianza kwa kasi
