Kikosi chetu kimesafiri jioni kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano wa African Football League (AFL) dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne jijini Cairo.
Timu imeondoka na wachezaji 24 tayari kwa mchezo huo ambao tunafahamu utakuwa mgumu.
Hiki hapa kikosi kamili kilichosafiri.
Makipa:
Ally Salim, Ayoub Lakred na Hussein Abel
Walinzi:
Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Israel Patrick, David Kameta, Henock Inonga, Che Fondoh Malone, Kennedy Juma na Hussein Kazi.
Viungo:
Fabrice Ngoma, Mzamiru Yassin, Abdallah Hamis, Clatous Chama, Luis Miquissone, Said Ntibazonkiza, Kibu Denis, Willy Essomba Onana,
Washambuliaji:
John Bocco, Jean Baleke, Moses Phiri na Shaban Chilunda.