read
news & Articles

Tumenza kwa sare ugenini dhidi ya Power Dynamos
Kikosi chetu kimepata sare ugenini ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika katika Uwanja wa

Kikosi Kitakacho tuwakilisha dhidi ya Power Dynamos
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Levy Mwanawasa kuikabili Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Hii

Tunatupa karata yetu ya kwanza Ligi ya Mabingwa Leo
Kikosi chetu leo kitaanza kampeni ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kucheza na Power Dynamos katika mchezo utakaopigwa katka Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola; Zambia.

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Levy Mwanawasa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Levy Mwanawasa tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Power Dynamos. Kwa

Mangungu awapokea mashabiki Ndola
Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu amewapokea mashabiki waliosafiri kutoka jijini Dar es Salaam kuja Ndola, Zambia kuipa sapoti timu katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa

Nyota 23 wapaa kuifuata Power Dynamos
Kikosi cha wachezaji 23 kimeondoka jijini Dar es Salaam mchana kuelekea Zambia tayari kwa mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power
