Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Ihefu Leo

Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kile kilichocheza mchezo uliopita dhidi ya Al Ahly.

Robertinho amemuanzisha mshambuliaji Jean Baleke ambaye amechukua nafasi ya nahodha John Bocco.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Henock Inonga (29), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), Jean Baleke (4), Said Ntibazonkiza (10), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa akiba:

Ayoub Lakred (36), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Mzamiru Yassin (19), Willy Onana (7), Luis Miquissone (11), Shaban Chilunda (27), Moses Phiri (25), John Bocco (22).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER