read
news & Articles

Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Coastal Union
Leo saa 10 jioni kikosi kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu ya NBC. Weka

Tunarejea tena Uhuru kuikabili Coastal Union
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal

Alichosema Robertinho kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Coastal
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union

Timu yawasili salama Dar
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam kutoka Ndola; Zambia baada ya kucheza mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power

Robertinho: Tumepoteza nafasi tano za kufunga Leo
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema tumepoteza nafasi tano za wazi za kufunga katika sare ya 2-2 dhidi ya Power Dynamos ambazo zingetuwezesha kupata ushindi
