read
news & Articles

Wachezaji wamepata maandalizi mazuri kuelekea Derby ya Kariakoo Kesho
Mlinzi wa kulia ambaye ni mchezaji mwandamizi ndani ya kikosi chetu, Shomari Kapombe amesema wamepata maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya

Biriani la Derby laliwa Temeke
Kuelekea mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tumefanya hamasa pamoja na kujipongeza kwa

Robertinho kocha bora NBCPL Oktoba
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi Oktoba. Robertinho amewapiku Miguel Gamondi wa Yanga na Abdulhamid Moalin

Timu yaendelea na mazoezi Mo Arena
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili,

Karibu Simba, Pilsner Lager
Klabu yetu imeingia mkataba wa miaka mitatu na Kampuni ya Serengeti Breweries kupitia bia yake ya Pilsner Lager. Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula amesema

Balozi wa Uingereza atembelea ofisi za Klabu
Balozi wa Uingereza nchini, David Concar ametembelea ofisi zetu zilizopo Masaki Dar es Salaam kwa lengo la kufahamu mambo mbalimbali ya uendeshaji wa klabu. Concar