read
news & Articles

Ahmed: Hatukupewa nafasi ya kufungua AFL kwa bahati mbaya
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetupa uwenyeji wa kufungua michuano ya African Football League (AFL)

Zoezi la kuipamba Dar imeanza Magomeni
Zoezi la kubandika picha za hamasa kuelekea ufunguzi wa African Football League limeanza rasmi Magomeni Mikumi katika Tawi la Mpira Pesa. Zoezi hilo limeongozwa na

Tumepata ushindi dhidi ya Dar City
Kikosi chetu kimefanikiwa kupata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Dar City katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Mo Simba Arena. Mchezo wa leo

Tumezindua jezi mpya za michuano ya AFL
Klabu yetu imezindua jezi maalum ambazo tutazitumia kwenye michuano ya African Football League (AFL) ambayo itaanza Oktoba 20 kwa kucheza na Al Ahly ya Misri.

CEO Kajula aishukuru Serikali
Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula ameishukuru Serikali kwa ukarabati mkubwa iliyofanya kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao tutautumia kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano

Hamasa ya AFL kuzinduliwa Jumamosi Coco Beach
Kuelekea ufunguzi wa michuano ya African Football League (AFL) tumekuwa na utaratibu wa kufanya hamasa kwa ajili ya kuwafanya mashabiki wajitokeze kwa wingi na safari
