read
news & Articles

Tupo tayari kumalizia Kazi tuliyoanza kwa Mkapa
Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Cairo International leo saa 11 jioni kuikabili Al Ahly katika mchezo wa marudiano wa African Football League Katika mchezo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Misri
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho jioni kujiandaa na mchezo wa kesho wa marudiano wa African Football League (AFL) dhidi ya Al Ahly. Kikosi kimefanya

Robertinho: Kesho tutaendelea tulipoishia dakika 45 za pili kwa Mkapa
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema amewaelekeza wachezaji kucheza kama ilivyokuwa kipindi cha pili katika mchezo wa African Football League (AFL) dhidi ya Al Ahly

Nyota 24 waliosafiri kuifuata Al Ahly Misri
Kikosi chetu kimesafiri jioni kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano wa African Football League (AFL) dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne jijini Cairo.

Robertinho afafanua sababu ya kutoanza na namba tisa dhidi ya Al Ahly
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefafanua kuwa sababu ya kutoanza namba tisa asilia katika mchezo wa ufunguzi wa African Football League (AFL) dhidi ya Al

Tumeanza kwa sare ufunguzi wa AFL
Mchezo wetu wa ufunguzi wa michuano ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Ahly kutoka Misri uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare
