read
news & Articles

Timu yaanza mazoezi kujiwinda na ASEC
Kikosi chetu kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast utakaopigwa Uwanja wa Benjamin

Tumepata tuzo ya mashabiki bora AFL
Mashindano ya African Football League (AFL) yamemalizika leo huku Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ikitawazwa mabingwa kwa kuifunga Wydad Casablanca ya Morocco mabao 2-0. Michuano

Tumepata sare dhidi ya Namungo
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa Uhuru umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Tulianza mchezo kwa

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Namungo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kaimu

Tupo Uhuru leo kuikaribisha Namungo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mara zote tunapokutana na

Matola asisitiza mshikamano Simba
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amewaomba Wanasimba kurejesha ushirikiano na kuendelea kuipa sapoti timu baada ya matokeo mabaya tuliyopata kwenye mchezo wetu uliopita. Matola amesema hakuna
