Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya KMC

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya kuwaanzisha Sadio Kanoute, Said Ntibazonkiza na John Bocco wakichukua nafasi za Mzamiru Yassin, Clatous Chama na Jean Baleke.

Kikosi kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Henock Inonga (29), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), John Bocco (22), Said Ntibazonkiza (10), Willy Onana (7).

Hussein Abel (30), Israel Mwenda (5), Hussein Kazi (16), Jimson Mwanuke (21), Abdallah Hamisi (13), Mzamiru Yassin (19). luis Miquissone (11), Moses Phiri (25), Jean Baleke (4)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER