read
news & Articles

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Yanga Princess
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Yanga Princess katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL). Hiki hapa

Kennedy, Israel wajiunga na timu Zanzibar
Wachezaji Kennedy Juma na Israel Patrick wamejiunga na kikosi baada ya kurejea kutoka katika kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kilichosafiri jana

Tutaanza Kutangaza Utalii wa Zanzibar
Leo tumetangaza kuanza kutangaza vivutio vya Utalii wa Zanzibar kupitia kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea. Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula amesema kama

Benchikha hajaridhishwa na kiwango
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha ameweka wazi kuwa hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi chetu licha ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya

Tumeanza kwa Pointi tatu Mapinduzi Cup
Mchezo wetu wa kwanza wa michuano ya Mapinduzi tuliocheza dhidi ya JKU katika Uwanja wa New Amaan Complex umemalizika kwa ushindi wa mabao 3-1. Moses

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKU Leo
Leo saa 2 15 usiku kikosi chetu kirashuka katika Uwanja umejaa New Amaan Complex kuikabili JKU katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi. Wachezaji
