Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mashujaa Leo

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma kuikabili Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Nyota wetu wanne waliokuwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyokuwa inashiriki michuano ya AFCON nao wameanza kwenye kikosi cha leo.

Nyota hao ni mlinda mlango Aishi Manula, Mohamed Hussein, Mzamiru Yassin na Kibu Denis.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Hussein Kazi (16), Che Malone (20), Babacar Sarr (33), Kibu Denis (38), Mzamiru Yassin (19), Fred Michael (18), Sadio Kanoute (8), Said Ntibazonkiza (10).

Wachezaji wa Akiba
Hussein Abel (30), Shomari Kapombe (12) David Kameta (3), Kennedy Juma (26), Abdallah Hamisi (13), ladack Chasambi (36) Clatous Chama (17). luis Miquissone (11), Pa Omar Jobe (2)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER