Kikosi chawasili salama Tabora

Kikosi kimewasili salama mkoani Tabora kutoka Kigoma tayari kwa mchezo wa Jumanne wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United utakaopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi saa 10 jioni.

Wachezaji walifanya mazoezi ya utimamu wa mwili asubuhi mkoani Kigoma ili kujiweka sawa baada ya mchezo mgumu wa jana dhidi ya Mashujaa FC.

Kesho saa 10 jioni kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi tayari kwa mchezo wa Jumanne.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER