read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na APR
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa nje wa New Amaan Complex kuikabili APR ya Rwanda katika mchezo watatu wa michuano ya Kombe

Makamu wa Rais atupongeza kwa kutangaza Utalii wa Zanzibar
Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abbullah ameupogeza uongozi wa Klabu kwa kuamua kutangaza Utalii wa Zanzibar kupitia michuano ya Kombe

Benchikha awamwagia sifa wachezaji ushindi dhidi ya Singida FG
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amewasifalu wachezaji kwa kuonyesha soka safi katika ushindi wa ambao 2-0 tuliopata dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Kombe

Tumechukua pointi tatu za Singida FG
Mchezo wetu wa pili wa Kombe la Mapinduzi uliopigwa Uwanja wa New Amaan Complex umemalizika kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya

Kikosi chetu kilichopangwa kuikabili Singida Big Stars
Leo saa 2:15 usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Singida Fountain Gate katika mchezo wa pili wa michuano ya Kombe

Queens yaichakaza Yanga Princess
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya watani wa jadi Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya
