read
news & Articles

Babacar Sarr ni Mnyama
Tumemsajili kiungo mkabaji, Babacar Sarr raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 26 kutoka US Monastir kwa mkataba wa miaka miwili. Sarr ni kiungo mwenye

Benchikha: Tumekutana na timu bora
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema APR ni timu bora na imetupa kipimo kizuri na uimara wa kikosi chetu ulipo kwa sasa. Benchikha amesema APR wanacheza

Tumegawana Pointi na APR
Mchezo wetu watatu wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya APR ya Rwanda uliopigwa katika Uwanja wa New Amaan Complex umemalizika kwa sare ya bila kufungana.

Kikosi chetu kitakachotuwakilisha dhidi ya APR
Leo saa 2:15 tutashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili APR kutoka Rwanda katika mchezo wa tatu wa Kombe la Mapinduzi. Kocha Mkuu Abdelhak

Simba yateuliwa kuwa Balozi wa Utalii Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Simai Mohammed Said ameiteua klabu yetu ya Simba kuwa Balozi wa Utalii

Waziri wa Utalii Zanzibar akabidhiwa jezi yake ya Simba
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mheshimiwa Simai Mohammed amepewa zawadi ya jezi ikiwa ni muendelezo wa kukutana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya
