Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam FC Leo

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo uliopita dhidi ya Tabora United.

Benchikha amewapumzisha, Shomari Kapombe, Kennedy Juma na Pa Omar Jobe na kuwaazisha Israel Patrick, Hussein Kazi, Fabrice Ngoma na Fred Michael.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (40), Israel Mwenda (5), Mohamed Hussein (15), Hussein Kazi (16), Che Malone (20), Babacar Sarr (33), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Freddy Koubalan (18), Said Ntibazonkiza (10),Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba

Aishi Manula (28),Shomari Kapombe (12), David Kameta (3), Kennedy Juma (26)(19), Abdallah Hamisi (13), Luis Miquissone (11), Mzamiru Yassin (19), Salehe Karabaka (23), Pa Omar Jobe (2)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER