read

news & Articles

Kwaheri Augustine Okrah

Uongozi wa klabu unatangaza rasmi kuachana na kiungo wetu mshambuliaji Augustine Okrah baada ya kumalizika Msimu wa mashindano wa 2022/23. Okrah raia wa Ghana amemaliza

Timu yarejea kujiandaa na Polisi, Coastal

Baada ya mapumziko ya siku kadhaa timu imerejea mazoezini kujiandaa na mechi mbili zilizozalia za kukamilisha msimu wa Ligi Kuu 2022/23. Mazoezi hayo yamefanyika katika

Manula aenda Afrika Kusini kwa matibabu

Mlinda mlango namba moja Aishi Manula ameondoka nchini leo kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya nyama za paja. Manula alipata majeraha katika mchezo

Mels Daalder Skauti Mkuu Simba

Uongozi wa klabu umemteua Mels Daalder Raia wa Uholanzi kuwa msaka vipaji (Skauti Mkuu) ambaye ana uzoefu wa kufanya skauti kwenye timu mbalimbali. Mels ameshiriki

Timu yarejea mazoezini

Baada ya mapumziko ya siku mbili wachezaji wamerejea mazoezini kujiandaa na mechi mbili zilizozalia za Ligi Kuu ya NBC. Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wetu

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC