read

news & Articles

Timu yatua salama Dar es Salaam

Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam kutoka nchini Ivory Coast baada ya mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa

Timu yaanza safari ya kurudi nyumbani

Kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea nyumbani baada ya sare ya bila kufungana tuliopata juzi dhidi ya ASEC Mimosas katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa

Tumepata pointi moja Ivory Coast

Mchezo wetu wa hatua ya makundi ya Ligi Kuu ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas uliopigwa Uwanja wa Felix – Houphouet – Boigny umemalizika

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC