read
news & Articles

Tumepangwa na Ahly Robo Fainali Mabingwa Afrika
Droo ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imekakilmilika na tumepangwa na miamba ya soka Al Ahly kutoka Misri. Mchezo wa mkondo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida

Kauli ya Kocha Matola kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Singida FG
Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema kikosi chetu kipo tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate utakaopigwa kesho

Timu yarejea salama Dar es Salaam
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka Tanga baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal

Tumepata pointi tatu za Coastal
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union uliopigwa Uwanja wa Mkwakwani umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1. Freddy Michael

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal Leo
Kikosi chetu leo saa 12 kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa