Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal Leo

Kikosi chetu leo saa 12 kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Hiki hapa kikosi kamili:

Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Babacar Sarr (33), Said Ntibazonkiza (10), Fabrice Ngoms (6), Freddy Koubalan (18), Clatous Chama (17), Luis Miquissone (11).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamis (13), Mzamiru Yassin (19), Ladaki Chasambi (36), Kibu Denis (11), Willy Onana (7), Pa Omar Jobe (2).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER