read
news & Articles

Leo Tupo Azam Complex kuikabili Mashujaa
Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia kwenye

Benchikha arejea, aongoza mazoezi ya mwisho
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amerejea nchini leo na jioni amekiongoza kikosi kwenye mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya

Matola: Ligi ni ngumu lakini tupo tayari kwa Mashujaa Kesho
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema wakati ligi ikiwa imeingia mzunguko wa pili kila timu inajipanga kuhakikisha inakusanya pointi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi. Matola

Nyota wetu watano waitwa timu za Taifa
Wachezaji wetu watano wameitwa kwenye timu zao Taifa zinazojiandaa na michuano mipya ya FIFA Series 2024 itakayofanyika nchini Azerbaijan. Nyota wanne wameitwa katika timu ya

Tumezipata Pointi za Singida Fountain Gate
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate uliopigwa Uwanja wa Azam Complex umemalizika kwa kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-1.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida FG Leo
Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki