read
news & Articles

VIDEO: Tazama timu ilivyoondoka kuelekea Ivory Coast
Kikosi chetu kimeondoka jijini Dar es Salaam alfajiri kuelekea Ivory Coast tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya

Kikosi kitakachosafiri kuifuata ASEC nchini Ivory Coast
Nyota 22 watasafiri alfajiri ya kuamkia kesho kuelekea nchini Ivory Coast tayari kwa mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya ASEC

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC

Tumemaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi
Ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya JKT Tanzania katika Uwanja wa Meja Jenerali Michael Isamuhyo siku ya Alhamisi umekamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi

Inonga arejea kikosini
Mlinzi wa kati Henock Inonga amerejea kikosini baada ya kumaliza majukumu ya timu yake ya Taifa ya DR Congo iliyokuwa inashiriki michuano ya AFCON iliyomalizika

Tumemaliza Mzunguko wa kwanza TWPL tukiwa kileleni
Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) umemalizika huku kikosi cha Simba Queens kikiwa kileleni mwa msimamo. Ligi ya Wanawake ambayo inashirikisha
