Quiz: Taja mchezaji aliyecheza mechi nyingi dhidi ya Al Ahly

Kesho saa tano usiku tutacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Uwanja wa Cairo International nchini Misri.

Swali, aja mchezaji aliyopo kikosini ambaye amecheza mechi nyingi dhidi ya Al Ahly.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER