Hiki hapa kikosi kitakachosafiri kuelekea Misri

Kikosi chetu kitaondoka alfajiri kuelekea nchini Misri tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Ijumaa jijini Cairo.

Benchi la ufundi chini ya Kocha Abdelhak Benchikha limechagua kikosi cha wachezaji 23 ambao tunaamini wataweza kufanya kazi ya kuipambania timu.

Hiki hapa kikosi kamili…..

Makipa
Ayoub Lakred, Ally Salim, Hussein Abel.

Mabeki
Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Israel Mwenda, David Kameta, Henock Inonga, Chemalone Fendoh, Kennedy Juma, Hussein Kazi.

Viungo
Fabrice Ngoma, Babacar Sarr, Mzamiru Yassin, Essomba Onana, Luis Miquissone, Abdallah Hamisi, Clatous Chama, Sadio Kanoute, Saido Ntibazonkiza, Kibu Dennis

Washambuliaji
Pa Omar Jobe, Freddy Michael.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER