read
news & Articles

Tupo Chamazi kuikabili Mtibwa Sugar
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Mtibwa Sugar katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena asubuhi kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya

Kauli ya Mgunda kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa kesho saa 10 jioni yamekamilika. Mgunda amesema pamoja na nafasi mbaya

Tumegawana Pointi Na Namungo Ruangwa
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi umemalizika kwa sare ya kufungana mabao 2-2.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Namungo
Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi kuikabili Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kikosi cha

Tabiri kikosi kitakachopagwa dhidi ya Namungo Leo
Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi kuikabili Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri hapa