Tabiri kikosi kitakachopagwa dhidi ya Namungo Leo

Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi kuikabili Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Tabiri hapa kikosi ambacho unaamini kitapangwa kwa ajili ya mchezo wa leo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER