read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam
Kikosi chetu leo saa 12:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa kikosi

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Bunda Queens
Simba Queens leo saa 10 itashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). Hiki

Leo tupo Benjamin Mkapa kuikabili Azam
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakoanza saa 12:15 jioni. Ni mchezo

Queens ipo kamili kuivaa Bunda Queens
Kikosi chetu cha Simba Queens kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) dhidi ya Bunda Queens utakaopigwa

Mgunda: Tuna mechi ngumu kesho
Kaimu Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC yamekamilika. Mgunda amesema wachezaji wapo

Mgunda: Ya Tabora yameisha tunajiandaa na Azam
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema baada ya ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya Tabora United sasa tunajipanga kwa ajili ya mechi inayofuata na