Kikosi chetu leo saa 12:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ayoub Lakred (40), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Edwin Balua (37), Mzamiru Yassin (19), Freddy (18), Sadio Kanoute (8), Ladaki Chasambi (36).
Wachezaji wa Akiba
Hussein Abel (30), Feruz Teru (31), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Henock Inonga (29), Willy Onana (7), Abdallah Khamis (13), Saleh Karabaka (23), Pa Omar Jobe (2