Simba Queens leo saa 10 itashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa
Caroline Rufa (38), Ruth Ingosi (20), Fatuma Issa (5), Violeth Nicholaus (26), Daniela Ngoyi (22), Ritticia Nabbosa (27), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Mwanahamis Omary (7).
Wachezaji wa Akiba:
Zubeda mgunda (29), Diana Mnally (15), Koku Kipanga (19), Esther Mayala (23), Zainabu Mohamed (8), Danai bhobho (40), Joanitah Ainembabazi (16), Diakiese Kaluzodi (13), Asha Djafar (24).