
Queens, Yanga Princess hakuna mbabe
Timu yetu ya Simba Queens imetoka sare ya bao moja na watani wetu Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya
Timu yetu ya Simba Queens imetoka sare ya bao moja na watani wetu Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya
Kocha Mkuu Charles Lukula, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Bayelsa Queens kutoka Nigeria kwenye mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa
Timu yetu ya Simba Queens imepoteza kwa bao moja dhidi ya wenyeji ASFAR FC ya Morocco katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema licha ya kupata ushindi mnono ugenini lakini kazi bado hatujamliza tunarudi nyumbani kujipanga kwa ajili ya mechi ya marudiano.
Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji tuliopata jana sasa tunaelekeza nguvu katika mchezo wetu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi
Kikosi chetu leo kimengia kambini rasmi kujiandaa na mchezo wa tatu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa Jumatano Uwanja wa Benjamin
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 12 jioni kuikabili Geita Gold katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC
Kikosi chetu kimeanza mazoezi jioni ya leo nchini Misri tayari kwa maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2022/23 chini ya kocha mkuu Zoran Maki.
Mlinzi wetu wa kati Henock Inonga amechaguliwa beki bora wa Ligi Kuu ya NBC 2021/22 katika hafla ya tuzo za TFF zilizotolewa usiku huu.
Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amesema morali ya wachezaji ipo juu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya KMC licha ya kuwa bingwa wa ligi