archive

more article

HOME / TEMPLATE / ALL ARCHIVE

article & news

news is to the mind.

Sit amet commodo nulla facilisi nullam vehicula ipsum a arcu.

Queens yawaacha nyota 11

Katika kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026 timu yetu ya Simba Queens imewaacha wachezaji 11. Mabadiliko hayo yanatokana na

Read More »

Kwaheri Augustine Okejepha

Baada ya makubaliano ya pande mbili kiungo mkabaji raia wa Nigeria, Augustine Okejepha hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi 2025/2026.

Read More »

Kwaheri Valentin Nouma

Baada ya makubaliano ya pande mbili tumevunja mkataba na mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso. Nouma tumemsajili kutoka St. Eloi Lupopo

Read More »

Asante Aishi Manula

Mlinda mlango, Aishi Manula hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu wa Ligi 2025/2026 baada ya kumaliza mkataba wake. Manula alijiunga nasi mwaka 2017

Read More »

Kwaheri Fabrice Ngoma

Ni rasmi kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa mashindano 2025/2026. Ngoma raia wa DR Congo alijiunga na

Read More »

subscribe

sign up for our newsletter:

Ready to get started, Get our Newsletter and join the Community!