
Nusu Fainali ya Kwanza ya CAFCC kupigwa Aprili 20 kwa Mkapa
Mchezo wetu wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini utapigwa Aprili 20. Stellenbosch wamepata nafasi
Mchezo wetu wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini utapigwa Aprili 20. Stellenbosch wamepata nafasi
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga Al Masry kwa mikwaju ya penati 4-1 katika mchezo uliopigwa
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kuikabili Al Masry katika mchezo wa marudiano wa robo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Masry katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema katika kipindi cha wiki nzima tangu kikosi kirejee kutoka Misri amekuwa akiwasisitiza wachezaji kwenye kufunga mabao ili kuweza kufanikiwa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amewaomba mashabiki kujitokeza uwanjani kesho katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho
Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu ameweka wazi kuwa pamoja na kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika
Mwanachama mwandamizi na mdhamini wazamani wa Klabu, Mzee Azim Dewji amewaomba wapenzi na mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa
Simba kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji Foundation tumetoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwenye Kituo cha kulelea watoto yatima na wenye uhitaji Maalum
Benki ya Equity imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Simba Bankers Bonanza baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya NBC katika mchezo wa