
Ni ama zetu ama zao Stellenbosch Uwanja wa Amaan Leo
Hakuna lugha rahisi ambayo unaweza kuitumia kuelezea jinsi ambavyo tunahitaji ushindi mnono kwenye mchezo wetu wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho
Hakuna lugha rahisi ambayo unaweza kuitumia kuelezea jinsi ambavyo tunahitaji ushindi mnono kwenye mchezo wetu wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini
Kikosi kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch utakaopigwa Jumapili
Klabu yetu imeingia mkataba wa miaka mitano na Kampuni ya Jayrutty Investment Company East African Limited kwa ajili ya kutengeneza, kubuni na kusambaza vifaa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amewaomba mashabiki hasa kutoka Visiwani Zanzibar kuhakikisha wanapambana na kuiwezesha timu kutinga fainali ya michuano ya
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup baada ya kuifunga Mbeya City mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya CRDB Federation Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Mbeya City katika mchezo wa robo fainali ya CRDB Federation Cup.
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema kuelekea mchezo wa kesho wa robo fainali ya CRDB Federation Cup dhidi ya Mbeya City tutapanga kikosi kamili na
Kocha Mkuu Fadlu Davids amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi Machi baada ya kuwapiku Rachid Toussi wa Azam FC na