Mchezo dhidi ya Singida Black kupigwa Disemba 28
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ya Ligi na kuzipangia ratiba mechi mbalimbali ambazo zilikuwa hazijapangiwa kutokana na sababu tofauti.
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ya Ligi na kuzipangia ratiba mechi mbalimbali ambazo zilikuwa hazijapangiwa kutokana na sababu tofauti.
Bao la kichwa la dakika ya mwisho lililofungwa na Kibu Denis limetuwezesha kupata pointi tatu muhimu nyumbani dhidi ya CS Sfaxien baada ya ushindi
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili CS Sfaxien kutoka Tunisia katika mchezo wa tatu wa hatua ya
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili CS Sfaxien kutoka Tunisia katika mchezo wa tatu wa hatua ya
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu lakini tumejiandaa kuhakikisha tunashinda hasa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally ameongoza zoezi la upangaji wa Droo la Simba University Bonanza ambalo litakutanisha wanachuo kutoka vyuo mbalimbali
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kikosi chetu kipo kwenye hali nzuri kuelekea mchezo wetu wa tatu wa hatua ya makundi
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeupangia tarehe mchezo wetu namba 79 dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania ambao sasa utapigwa Disemba 14 katika
Mchezo wa wetu wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) dhidi ya JKT Queens uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa sare ya kufungana
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema tumeweka kiingilio kidogo kwenye mchezo dhidi ya CS Sfaxien kwakuwa tunahitaji mashabiki wajitojeze kwa wingi