Mpanzu kuongoza mashambulizi dhidi ya Kagera Sugar
Kiungo mshambuliaji, Elie Mpanzu ataongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa Kaitaba.
Kiungo mshambuliaji, Elie Mpanzu ataongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa Kaitaba.
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera Sugar katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia katika mchezo
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa saa 10 jioni kwenye
Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Kagera tayari kwa ajili ya mchezo wa Jumamosi wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa katika
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema anawaamini wachezaji wote ndio maana amekuwa akifanya mabadiliko mara kwa mara kwenye kikosi chake na wamekuwa wakimpa matokeo chanya.
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri kikosi
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Ken Gold
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya mchezo wetu Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ken
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema tunahitaji kucheza soka safi pamoja na kuhakikisha tunapata pointi tatu kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC