Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Namungo
Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Namungo Kikosi chetu leo saa 10:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Namungo FC katika mchezo
Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Namungo Kikosi chetu leo saa 10:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Namungo FC katika mchezo
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Kocha Msaidizi, Darian Wilken amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakuwa mgumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi kwenye
Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Mbeya baada ya jana kucheza mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi Tanzania Prisons na kuibuka
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya Tanzania Prisons ulikuwa muhimu kwakuwa tulihitaji zaidi kuupata. Kocha Fadlu ameongeza kuwa
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Sokoine
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Sokoine kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Sokoine kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri kikosi ambacho
Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa saa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Sokoine tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons