
Ahmed: Tunakaribia kufikia maono ya Mo Dewji
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema kwa takribani miaka sita Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Klabu, Mohamed Dewji ‘Mo’ amekuwa
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema kwa takribani miaka sita Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Klabu, Mohamed Dewji ‘Mo’ amekuwa
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema hatutakiwi kushangilia sana kwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika badala yake tunahitaji kutunza nguvu kwa ajili ya
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch katika mchezo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Moses Mabhida kuikabili Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya pili
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Moses Mabhida kuikabili Stellenbosch katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika. Tutaingia
Kocha Mkuu, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch utakuwa
Kampuni ya Jayrutty imeingia ushirikiano na Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya nchini Italia ya Diadora kwa ajili ya kuzalisha na kusambaza vifaa
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema kikosi kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho
Kikosi chetu kimewasili salama katika mji wa Durban tayari kwa mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch
Uongozi wa klabu umeweka wazi kuwa kuanzia sasa umebeba dhamana ya kuhamasisha ulipaji Kodi wa hiari kupitia michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambayo