
Timu yarejea Dar wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Kigoma baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Mashujaa katika mchezo
Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Kigoma baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Mashujaa katika mchezo
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Lake Tanganyika kuikabili Mashujaa FC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Lake Tanganyika kuikabili Mashujaa FC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia katika
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa utakaopigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika utakuwa mgumu
Kikosi chetu kitaondoka Saa 11 alfajiri kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa utakaopigwa Novemba Mosi.
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Mo Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaofuata dhidi ya Mashujaa utakaopigwa Novemba mosi
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirishwa kwa mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania ambao ulipangwa kuchezwa kesho
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa kupata ushindi mnono wa mabao 3-0.