
VIDEO: Tulikuwa na uwezo kushinda mabao mengi zaidi
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kipindi cha kwanza tulitengeneza nafasi nyingi za kufunga ambazo zingetufanya kupata mabao mengi zaidi. Kocha Fadlu amewamwangia sifa wachezaji
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kipindi cha kwanza tulitengeneza nafasi nyingi za kufunga ambazo zingetufanya kupata mabao mengi zaidi. Kocha Fadlu amewamwangia sifa wachezaji
Ushindi wa mabao 4-0 tuliopata dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la KMC Complex umetufanya kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili KMC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids
Nyota wetu watano ni miongoni mwa wachezaji 26 walioitwa na Kocha Hemed Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) dhidi
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja KMC Complex kuikabili KMC FC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia katika mchezo
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa Uwanja wa Samora
Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Samora kuikabili Ceasiaa Queens kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). Hiki
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakuwa mgumu kutokana na kukutana na timu bora.
Kikosi chetu cha Simba Queens kesho kitashuka katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania